Mbunge Wa jimbo la Mtam" />
Mbunge Wa jimbo la Mtam"/>
Surprise Me!

NAPE BUNGENI: "Ametusaliti, Hili ni Bomu Kubwa Tuambieni Ukweli"

2018-04-10 1 Dailymotion

NAPE BUNGENI: "Ametusaliti, Hili ni Bomu Kubwa Tuambieni Ukweli"

Mbunge Wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, Amesema Kuwa Wapiga Kura wa Mikoa Ya Lindi Na Mtwara Walitegemea Kupata Neema Kubwa Kutokana na miradi Ya Gesi, na ndiyo Jambo Ambalo walilipa kipaumbele katika ilani ya chama cha Mapinduzi.

Mbunge Nape amesema kuwa ameshangaa kuona kuwa Waziri mkuu, Kassim Majaliwa, hajalizungumzia kabisa suala hilo kwenye hotuba yake ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu aliyoiwasilisha bungeni.

Instal GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ...

TWITTER: Visit , Subscribe

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..