Msanii nguli wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ametupa dongo gizani akidai kwamba kuna watoto aliowaita wadogo wanataka kushindana na WCB.