Surprise Me!

Lulu kumalizia kifungo nje ya gereza

2018-05-16 2 Dailymotion

Mahakama Kuu imembadilishia kifungo Msanii wa Filamu Elizabeth Michael maarufu kwa jina la usanii la Lulu ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kumuua mpenzi wake bila kukusudia baada ya kupata msamaha wa Rais uliotolewa April 26 mwaka huu wakati wa maadhimisho ya Muungano.