Ukosefu Wa Chanjo Ya Covid-19 Umeongeza Vifo Afrika
2021-07-19 2 Dailymotion
Shirika La Afya Duniani Limethibitisha Kuongezeka Kwa Vifo Barani Afrika Kunatokana Na Kukosekana Kwa Chanjo. Shirika Hilo Limeeleza Kuwa Chini Ya Asilimia 3 Ya Wananchi Wake Ndio Wamepatiwa Chanjo Ya Covid-19 Kufikia Sasa